Wewe ni dakatari na siku moja usiku ukiwa unatoka hospitali unavamiwa na vibaka watatu, ukawasihi wasikudhuru wewe ni daktari umetoka kuhudumia wagonjwa, wakakukebehi na baadae kukujeruhi vibaya nusura wakutoe roho, uliwashika sura wote maana walikukebehi kwa muda mrefu kabla ya kukuibia na kukujeruhi, siku moja umeitiwa dharula, kwenye chumba cha upasuaji, baada ya kuingia unagundua mgonjwa ni mmoja wa vibaka waliokujeruhi……….Utafanya nini???
Funguka

#ChekanaZephiline