Cheka na Zephiline
Ingia(Log In) Kwenye Akaunti Yako
Kama Hauna Akaunti
Jisajili(Register)
Ili Ufurahie Kuchat/Kuchekeshana na Wenzako na Kusoma Simulizi


Cheka na Zephiline
Ingia(Log In) Kwenye Akaunti Yako
Kama Hauna Akaunti
Jisajili(Register)
Ili Ufurahie Kuchat/Kuchekeshana na Wenzako na Kusoma Simulizi

Cheka na ZephilineLog in

Tucheke na Kufurahi Pamoja na Kubadilishana Mawazo #ChekanaZephiline

Kama unapata shida ya kujiunga njoo WhatsApp +255 718274413 nikupe msaada
Kama unapata shida ya kutumia forum yetu njoo PM Box(inbox) nikupe usaidizi

Karibuni Sana Tucheke na Kuenjoy Kila Siku
#ChekanaZephiline

Sadaka

Unapotoa sadaka shilingi mia unahisi mbinguni kuna barafu eeh?

#ChekanaZephiline

Ni Jukumu Langu

Nikiwa kama kaka ni jukumu langu kukichukia kibwana cha dada yangu bila sababu yeyote

#ChekanaZephiline

Msukuma na Begi la Shule

Ndege ilipata hitilafu angani Rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10, ndani ya ndege kulikuwa na watu watano lakini parashuti zilikuwa nne tu

Watu hao ni Mchungaji, Waziri, Mwanajeshi, Msukuma na Mwanafunzi wa chekechea, Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa hivyo akachukua parachuti akaruka, Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo, akachukua parachuti akaruka, Msukuma akasema familia inamtegamea akachukua parachuti akaruka haraka, wakabaki Mwanajeshi na Mwanafunzi wa chekechea

Yule Mjeshi akamtazama Mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema "Mimi najitolea kufa kwa ajili yako, we chukua hilo parachuti lililobaki ujiokoe halafu mimi nitakufa na hii ndege" yule Mwanafunzi akajibu "Usijali yamebaki maparashuti mawili" yule mjeshi akashangaa akauliza "Mawili kivipi!?" Mwanafunzi akasema "Yule Msukuma kachukua begi langu la shule akidhani ni parachuiti"

#ChekanaZephiline

Wanawake Wenye Watoto

HUU NDIO UKWELI
Wanaume huwa hatupendi watoto wa kukuta kwa mwanamke ila kinachotokea ni kuigiza tu ikiwa lengo ni kupata hitaji letu ambalo ni tendo la ndoa

#ChekanaZephiline

Jirani Mwizi

Jana nimeota jirani yangu kabomoa nyumba yangu na kuiba vitu vyote
Asubuhi ya leo nakutana naye eti anajikausha kama hajui kitu alichonifanyia

#ChekanaZephiline

Kama Ingekuwa Wewe Ungefanyaje?

Wewe ni dakatari na siku moja usiku ukiwa unatoka hospitali unavamiwa na vibaka watatu, ukawasihi wasikudhuru wewe ni daktari umetoka kuhudumia wagonjwa, wakakukebehi na baadae kukujeruhi vibaya nusura wakutoe roho, uliwashika sura wote maana walikukebehi kwa muda mrefu kabla ya kukuibia na kukujeruhi, siku moja umeitiwa dharula, kwenye chumba cha upasuaji, baada ya kuingia unagundua mgonjwa ni mmoja wa vibaka waliokujeruhi……….Utafanya nini???
Funguka

#ChekanaZephiline

Water ni Nini?

Hivi WATER kwa Kingereza yanaitwaje?

#ChekanaZephiline

Maandilizi Kwenye Mapenzi

Wakati wa kufanya mapenzi wanaume wengi hufikiria ni jinsi gani watamridhisha mpenzi wake ndio maana wana enjoy tendo, wakati huo wanawake hufikiria muonekano wao

Kabla ya tendo mwanaume alishajiandaa kisaikolojia 'Demu wangu akija nitamgusa hapa, nitamchezea nywele, nitamnyonya sehemu fulani...' na kweli mwanamke akifika mwanaume atakuwa makini na vitu ambavyo kichwani alishapanga avifanye kwa mpenzi wake

Atamwambia maneno mazuri, atamchezea nywele, atamgusa na kumtomasa kila kona ili ahakikishe demu wake analowa kabla ya tendo kuanza

Kasheshe sasa ni kwa mwanamke akishaambiwa tukutane tu tumbo joto

Ukiachana na kuwaza atavaa nguo gani, kwanza anajishauri kichwani 'Nina enda lakini simvulii chupi ng'oo, sema ngoja ninyoe kabisa ikitokea chochote kitu niwe tayari

Akishafika geto sasa miksa kujinunisha, sitaki nataka kibao, hataki kushikwa wala kuguswa wakati hapo ndio anaandaliwa mdogo mdogo mwisho mwanaume una amua kutumia nguvu kama unabaka

Wakati wa tendo sasa, mwanaume upo bize kujituma ili mfurahie tendo mwanamke yupo bize kufikiria 'Sijui leo nitapewa shilingi ngapi ya nauli, sijui leo nitajamba kweli, dogy staili nisije kujamba, sijui kitumbua changu anakionaje, sijui ninanuka?'

Mwisho wa siku mwanaume unakojoa zako kwa raha msitarehe lenyewe bado linatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango halafu baadae linalalamika huwa haulikojoleshi, kukojoa huko kutokee wapi, tangu lini kongoro akakojoa?

#ChekanaZephiline

Kitandani Mimi Noma

Sikatai unanishinda kimasomo ila kitandani naomba heshima yangu

#ChekanaZephiline

Surprise kwa Shetani

Siku demu akija geto akavua nguo, akatanua miguu tayari kwa kusex mvalishe nguo muondoke, jaribuni kumsuprise shetani hata mara moja katika maisha yenu

#ChekanaZephiline

Mke Mcha Mungu

Ukitaka mke mcha Mungu usimchague Jumapili, nenda siku za katikati ya wiki sababu hivi vidangaji havihudhuriagi misa hizo

#ChekanaZephiline

Shukuru Upo Single

Shukuru upo Single kuna mwenzako sasa hivi anaomba msamaha kisa jana kalala mapema

#ChekanaZephiline

Mademu Waaminifu

Ukijibiwa 'Nina mtu wangu' au 'Tuendelee tu kuwa marafiki wa kawaida' kazana mademu waaminifu hawajibu chochote

#ChekanaZephiline

Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii

Ukifungua Cheka na Zephiline Forum utakutana na Join the forum Cheka na Zephiline
Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_10

Bonyeza hapo kisha utakutana na fomu ndefu ya vigezo na msharti, wewe cha kufanya shuka mpaka mwisho weka vema sehemu zote mbili bonyeza ✔I Agree to these terms kisha itafunguka fomu ya kujaza details zako
Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_11
Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_12


  • Username: Jaza Majina yako yote
  • Email: Hapa weka Email yako
  • Password: Eneo hili weka neno la siri(Password) ambazo utakuwa unatumia kuingilia kwenye Forum yetu
  • Malizia na kuweka ✔ kwenye I agree to receive forum news by e-mail. kisha bonyeza Save kuendelea

Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_13

Hapa itakuja fomu ya kurudia kujaza password na kuna uthibitishaji kuwa wewe sio roboti hivyo weka ✔ kwenye I'm not a robot
Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_14

Hapa kuna mawili:

  1. Unaweza kubonyeza ikatokea ✔ bila kuulizwa chochote
  2. Ukiulizwa maswali yao yanakuwaga na mitego ili kuhakikisha sio roboti, hakikisha unachagua kile walichoonesha na kuandika kwa juu ya machaguo

Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_15
Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_16

Hapo ukimaliza kuchagua na kubonyeza Verify basi itatokea ✔ kwenye I'm not a robot
Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_17

Mwisho bonyeza Save na utakuwa umemaliza kujisajili kwenye forum yetu, malizia kwa kubonyeza Click here to return to the Index
Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_18

Sasa bonyeza Log In jaza:
Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_19

  1. Username: Majina uliyoweka wakati unajisajili
  2. Password: Zile ulizojaza wakati unajisajili

Topics tagged under chekanazephiline on Cheka na Zephiline - Page 2 Jinsi_20

Hapo tayari utajikuta umeshaingia ndani moja kwa moja, basi ndipo uanze kupost, kucomment na kufurahia yote mazuri ndani ya forum yetu

AHSANTE SANA KWA KUSOMA MPAKA MWISHO NAAMINI UMELEEWA
KAMA BADO BASI TAZAMA VIDEO HII
TATIZO LOLOTE TUMA UJUMBE WHATSAPP KWA KUGUSA LINK HII WhatsApp 0718274413

#ChekanaZephiline

Jinsi ya Kupost Picha

Naomba nikufundishe jinsi ya kupost au kuchangia maoni kwa picha, ukiwa kwenye Category husika ambayo kwa wengi tutakuwa tunapost vichekesho, fungua sehemu ya kupost kama nilivyoelekeza HAPA kisha andika Title na baada ya hapo gusa kitufe cha camera📷 hapo juu kisha subiri itatokea sehemu panasema 'Select files', gusa hapo kisha chagua zilipo picha zako kwenye file manager na iguse picha unayotaka kupost, baada ya hapo sukuma(slide/swipe) kwenda juu utaona sehemu pameandikwa 'Send all' gusa hapo, yatatokea malink kwenye sehemu ya 'Message body', bonyeza alama ya X kufunga sehemu ya ku upload picha na kama una maneno ya kuambatabisha andika chini yake kisha 'Save'

Hapo utaiona picha yako na maelezo yako(kama uliandika) yatatokea kwenye post yako

Tumia njia hii hata kwenye kujibu(reply) post(topic) ya mwenzako kwa picha

Kama kuna sehemu panakushinda, maswali nayapokea na kukusadia kupitia Whatsapp namba hii 0718274413
KARIBUNI SANA

#ChekanaZephiline

UOLEWAJI NI KAZI WAKATI MWINGINE, TAZAMA ANACHOFANYIWA HUYU MKE NA WIFI/SHEMEJI ZAKE

Ahsanteni kwa sapoti yenu, kama haujajiunga(Subscribe) channel yetu basi bonyeza hapa ujiunge sasa Cheka na Zephiline

#ChekanaZephiline

Jinsi ya Kuchangia Maoni

Fungua kitengo unachopenda kusoma post zake, fungua post unayopenda na soma, ukimaliza shuka chini kidogo utaona sehemu pameandikwa 'Reply'

Hapo gusa palipoandikwa 'Message body...' kisha andika maoni yako baada ya hapo bonyeza 'Send' hapo utakuwa tayari umechangia maoni kwenye post ya mwenzako naye atajibu kwa mfumo huo huo ambapo kutakuwa ni chini ya comments zilizopita

Swali lolote njoo WhatsApp 0718274413

#ChekanaZephiline

Jinsi ya Kupost

Ukiwa ndani ya forum tayari umeshajiunga, fungua chini ya VICHEKESHO kisha gusa alama ya kalamu🖊 na hapo utapewa uwanja wa kuandika, kwenye 'Title of the topic' andika neno fupi ambalo ni kichwa cha kichekesho, ila kichekesho chenyewe andika chini penye maneno haya 'Message body', na ukimaliza hapo bonyeza 'Save' na kisha subiri kidogo utakuwa umemaliza kupost

Mfano post yako ni kutani basi 'Title' andika UTANI, kama ni mambo ya mapenzi unaangalia inaelekea vipi, hapa unaweza andika MAPENZI, MAPENZI BASI, MAPENZI MUBASHARA, hiyo ni mifano tu, kwenye 'Message' ndipo unamwaga post yote

Ukikwama pahala niombe msaada WhatsApp +255 718274413

#ChekanaZephiline

KARIBU SANA

Niombe tu kuwakaribisha wageni wangu wote
Hapa tupo kwa ajili ya kuchekeshana na kutaniana pia kuburudishana hivyo basi niwaombe tujisikie huru kabisa

Kama kuna shida yeyote wasiliana nami WhatsApp 0718274413 nitakupa msaada haraka sana

#ChekanaZephiline