Njia rahisi ya kurutubisha nguvu za kiume 00019
Uhali gani mpenzi msomaji bila shaka u mzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku, naomba nikuarike jamvini uweze kujivunza mbinu rahisi za kurejesha nguvu za kiume.

Kama una tatizo la nguvu za kiume yapo mambo ya msingi unayopaswa kuzingatia ili kurejesha nguvu za kiume zilizopotea na nguvu hizo za kiume endapo utayazingatia haya nitakayokueleza siku ya leo nina uhakika utakuwa ni mwanaume kamili.
Na njia hizo ni


  • Fanya mazoezi kila siku walau dakika 30 kwa siku.
  • Punguza msongo wa mawazo kardi uwezavyo.
  • Epuka sana kutumia madawa ya kulevya kwani ni adu mkubwa wa nguvu za kiume.
  • Jitahidi sana kula mbogamboga na matunda  kadri uwezavyo.
  • Punguzwa kunywa soda, hasa soda zenye gesi.
  • Tumia vitamini vya Zinc na Folic Acid
  • Kunywa maji ya kutosha.