Wakati tukisubiri tuwe wanachama wengi zaidi basi ningependa kukujuza unayependa kusoma simulizi

  1. Hakikisha unatumia forum ukiwa na application, kama hauna install hapa Cheka na Zephiline
  2. Fungua application na fuata picha hizi zinavyokuelekeza

JINSI YA KUSOMA SIMULIZI MPYA 20210212

  • Gusa hapo kama unavyoona kwenye picha nimekuelekeza, patafunuka na kukuonesha sehemu ya Video na Simulizi, bonyeza Simulizi


JINSI YA KUSOMA SIMULIZI MPYA 20210213

  • Hapa unakuwa umefungua Simulizi na utasoma zote unazotaka kufuatilia

JINSI YA KUSOMA SIMULIZI MPYA 20210214

  • Baada ya kumaliza na unataka kurudi kwenye forum, bonyeza tena vile vialama kama nilivyoonesha kwenye picha hapa

JINSI YA KUSOMA SIMULIZI MPYA 20210215

  • Hapo bonyeza Forum, utakuwa umerudi kwenye mijadara yetu kama kawaida na kuendeleza burudani

JINSI YA KUSOMA SIMULIZI MPYA 20210216

  • KUMBUKA: Haya yote utayafanya ukiwa unatumia application ya Cheka na Zephiline, kama unasoma haujainstall basi gusa hapa kuinstall Cheka na Zephiline App
  • Hii itakuwa ni kwa muda wakati tukisubiri wanachama wazidi kuja ila mwisho tutaanza kuzisomea ndani ya forum hapa hapa hautakuwa na usumbufu huo tena