Naomba nikufundishe jinsi ya kupost au kuchangia maoni kwa picha, ukiwa kwenye Category husika ambayo kwa wengi tutakuwa tunapost vichekesho, fungua sehemu ya kupost kama nilivyoelekeza HAPA kisha andika Title na baada ya hapo gusa kitufe cha camera📷 hapo juu kisha subiri itatokea sehemu panasema 'Select files', gusa hapo kisha chagua zilipo picha zako kwenye file manager na iguse picha unayotaka kupost, baada ya hapo sukuma(slide/swipe) kwenda juu utaona sehemu pameandikwa 'Send all' gusa hapo, yatatokea malink kwenye sehemu ya 'Message body', bonyeza alama ya X kufunga sehemu ya ku upload picha na kama una maneno ya kuambatabisha andika chini yake kisha 'Save'

Hapo utaiona picha yako na maelezo yako(kama uliandika) yatatokea kwenye post yako

Tumia njia hii hata kwenye kujibu(reply) post(topic) ya mwenzako kwa picha

Kama kuna sehemu panakushinda, maswali nayapokea na kukusadia kupitia Whatsapp namba hii 0718274413
KARIBUNI SANA

#ChekanaZephiline