Ukifungua Cheka na Zephiline Forum utakutana na Join the forum Cheka na Zephiline
Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_10

Bonyeza hapo kisha utakutana na fomu ndefu ya vigezo na msharti, wewe cha kufanya shuka mpaka mwisho weka vema sehemu zote mbili bonyeza ✔I Agree to these terms kisha itafunguka fomu ya kujaza details zako
Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_11
Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_12


  • Username: Jaza Majina yako yote
  • Email: Hapa weka Email yako
  • Password: Eneo hili weka neno la siri(Password) ambazo utakuwa unatumia kuingilia kwenye Forum yetu
  • Malizia na kuweka ✔ kwenye I agree to receive forum news by e-mail. kisha bonyeza Save kuendelea

Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_13

Hapa itakuja fomu ya kurudia kujaza password na kuna uthibitishaji kuwa wewe sio roboti hivyo weka ✔ kwenye I'm not a robot
Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_14

Hapa kuna mawili:

  1. Unaweza kubonyeza ikatokea ✔ bila kuulizwa chochote
  2. Ukiulizwa maswali yao yanakuwaga na mitego ili kuhakikisha sio roboti, hakikisha unachagua kile walichoonesha na kuandika kwa juu ya machaguo

Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_15
Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_16

Hapo ukimaliza kuchagua na kubonyeza Verify basi itatokea ✔ kwenye I'm not a robot
Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_17

Mwisho bonyeza Save na utakuwa umemaliza kujisajili kwenye forum yetu, malizia kwa kubonyeza Click here to return to the Index
Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_18

Sasa bonyeza Log In jaza:
Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_19

  1. Username: Majina uliyoweka wakati unajisajili
  2. Password: Zile ulizojaza wakati unajisajili

Jinsi ya Kujisajili(Register) na Kuingia(Log In) Kwenye Forum Hii Jinsi_20

Hapo tayari utajikuta umeshaingia ndani moja kwa moja, basi ndipo uanze kupost, kucomment na kufurahia yote mazuri ndani ya forum yetu

AHSANTE SANA KWA KUSOMA MPAKA MWISHO NAAMINI UMELEEWA
KAMA BADO BASI TAZAMA VIDEO HII
TATIZO LOLOTE TUMA UJUMBE WHATSAPP KWA KUGUSA LINK HII WhatsApp 0718274413

#ChekanaZephiline